Hurumia Watoto Hospital

REKLAM ALANI
Company : Hurumia Watoto Hospital
Category : Hospital
Address : Mabatini, TZ, Nyanguge Rd, 11428, Tanzania
Phone :
Web :

About Company

Hurumia Watoto Hospital is a Hospital located at Mabatini, TZ, Nyanguge Rd, 11428, Tanzania.

Sisi ni hospitali inaytambulika mji na nchi nzima. Tulianza kama kliniki ndogo ya watoto, ikiendeshwa na marehemu Dokta Festo Machera kwenye miaka ya 1980. Tangu hapo, tumeweza kupandisha madaraja ya hospitali hii kwa kuongeza kiasi na kiwango cha Huduma tunazotoa. Leo hii tuna hospitali kubwa kabisa iendeshwayo na Mama Syllicheria Machera kama mkurugenzi. Leo hii, tunatoa Huduma za kiafya za hadhi ya juu kabisa, tukiwa na timu iliyobobea na kuhamasishwa kukutolea wewe huduma nzuri iwezekanavyo. Pia tunatumia vifaa vya kisasa Zaidi ambavyo vimeonganishwa kidigitali ili kukupa wewe huduma bora na inyofaa zaidi .

Request for Company Deletion or Modification

2025 © BUMAPS - Business Maps


About  |  Privacy Policy  |  Blog  |  Contact